Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua hiyo ndio michezo yao, anadhani ubingwa mara 27 tulipatia Bagamoyo wanakoendaga kwa Rashid pale KilomoHahaaaa. Kweli usemalo Mkuu.
Ngoja nimuwache na hizo video zake sababu zinadhihirisha ile kauli ya Rage.
Aiseeee. Mpaka na njiwa sijui Kunguru. LolUnajua hiyo ndio michezo yao, anadhani ubingwa mara 27 tulipatia Bagamoyo wanakoendaga kwa Rashid pale Kilomo
View attachment 1089580
Afu umesahau kua Yanga ndo timu ilipigwa faini Mara nyingi msimu huu kwa ushirikinaHayo yanafanywana Mikia FC kwa kushirikiana na TIFUTIFU ili Yanga aonekane karoga.
😝😝😝😝 nacheka mpaka mbavu zinauma rudi nyumbani kumenoga SIMBA RAHA malkia wa Virginia wewe huko uliko utapata vidonda vya tumboDuuh! Nini kimewaaminisha kwamba ni wa timu ya Wananchi? Au ndio mmeanza kuweweseka.
Heri kuwa Simba japo kwa siku moja, kuliko kuwa Mbuzi Daima[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] nacheka mpaka mbavu zinauma rudi nyumbani kumenoga SIMBA RAHA malkia wa Virginia wewe huko uliko utapata vidonda vya tumbo
Aiseeee. Mpaka na njiwa sijui Kunguru. Lol
Futa neno Mikia andika LipuliHayo yanafanywana Mikia FC kwa kushirikiana na TIFUTIFU ili Yanga aonekane karoga.