Clomid na maumivu ya mguu

Mdadamwema.

Senior Member
Joined
Aug 7, 2014
Posts
156
Reaction score
173
Habari zenu wakuu,

Naomba kusaidiwa katika hili,niko kwenye dozi ya clomid, lakini kila nikimeza dawa hizi nahisi maumivu katika mguu wangu wa kulia kwa chini,yaani kile cha kukanyagia,je kuna uhusiano wowote kati ya clomid na maumivu ya mguu?

Na je nikatishe dozi mpaka hapo kesho nitakapoenda kuonana na dactor,maana leo pia natakiwa nimeze nani siku ya tatu na dozi ni ya siku tano.

Nawasilisha wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…