Clothing Line ya Ali Kiba

Clothing Line ya Ali Kiba

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,327
Kijana mwenzangu unajiskiaje kijana mwenzio anavyosogea na kupiga hatua. Vijana tuamke, baadhi ya vijana they are making money mfano huyu ameanza,,juzi nlikua namsoma Jux na yeye anasema anapata hela.nyingi kwa clothing line yake... nmekumbuka nyimbo ya tmk wanaume dah kichwa kinauma.
 
1471093255301.jpg
 
Wakiwa hai mbwembwe nyingi, akifa utasikia alikuwa anapanga
 
It is just merely a brand name not clothing line
 
1471093255301.jpg
Kwa mujibu wa PICHA mimi naona kofia ya KIBA,T-shirt ya BORN TO SHINE na jacket la MTUMBA...
Au ndio clothing line yenyewe inayozungumziwa..!?
 
Kofia imeandikwa Kiba ndio clothing line?
Kama ilivo kwa jux,"African boy" na WCB kwani kibaya kipi au kiba ndo hawez kuwa brand name? Acheni chuki binafsi [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Kama ilivo kwa jux,"African boy" na WCB kwani kibaya kipi au kiba ndo hawez kuwa clothing line? Acheni chuki binafsi [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Wewe umekosea na wao kama na wenyewe wanasema wana clothing line wanakosea pia maana kwa Bongo hakuna mwenye hiyo kitu.
 
Back
Top Bottom