BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Kijana mwenzangu unajiskiaje kijana mwenzio anavyosogea na kupiga hatua. Vijana tuamke, baadhi ya vijana they are making money mfano huyu ameanza,,juzi nlikua namsoma Jux na yeye anasema anapata hela.nyingi kwa clothing line yake... nmekumbuka nyimbo ya tmk wanaume dah kichwa kinauma.