BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Kweli brother mshanaHaya tuwaombee na kujiombea pia
Ata mimi nashangaaKofia imeandikwa Kiba ndio clothing line?
Nadhani tuna matatizo kuliko matatizo yenyewe.Kofia imeandikwa Kiba ndio clothing line?
Kama ilivo kwa jux,"African boy" na WCB kwani kibaya kipi au kiba ndo hawez kuwa brand name? Acheni chuki binafsi [emoji57] [emoji57] [emoji57]Kofia imeandikwa Kiba ndio clothing line?
Wewe umekosea na wao kama na wenyewe wanasema wana clothing line wanakosea pia maana kwa Bongo hakuna mwenye hiyo kitu.Kama ilivo kwa jux,"African boy" na WCB kwani kibaya kipi au kiba ndo hawez kuwa clothing line? Acheni chuki binafsi [emoji57] [emoji57] [emoji57]