Clotous Chota Chama unataka nini Christmas hii ??

Chama ni mchezaji wa kiwango sana, aliefanya usajili wa chama pmja na kagere pale msimbazi hawakukosea, tatizo ni beki
Upande wa beki kocha anazingua kupanga.. Beki ya katikati kuna Juko Murshid na Bukaba.
 
Mpe Goti atakushukuru sana.
 
Chama ni mchezaji wa kiwango sana, aliefanya usajili wa chama pmja na kagere pale msimbazi hawakukosea, tatizo ni beki
Nakubaliana na hoja yako ila kwenye beki nafikiri kocha kwenye game ngumu amtumie Juuko Murshid na mmoja kati ya Wawa au Nyoni, hawa wana akili sana ila kwasababu ya umri kasi yao imepungua ila Juuko umri una mruhusu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…