2hery
JF-Expert Member
- May 27, 2011
- 4,700
- 4,625
Upande wa beki kocha anazingua kupanga.. Beki ya katikati kuna Juko Murshid na Bukaba.Chama ni mchezaji wa kiwango sana, aliefanya usajili wa chama pmja na kagere pale msimbazi hawakukosea, tatizo ni beki