johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Atakuwa Hassani ngoma tu akuna mwingine...Watangazaji wa Clouds 360 wametembelea kijiwe maarufu cha kahawa jijini Dodoma na kufanya mahojiano na madereva wa Bodaboda.
Bodaboda waliulizwa maswali mawili ya msingi:
1. Je, Rais Magufuli akimaliza muhula wake wa pili wa uongozi aongezewe 10 mingine?
2 Je, kwa mnavyofahamu Mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe alivamiwa au alianguka mwenyewe?
Bodaboda wamependekeza Rais Magufuli aendelee na uongozi hadi maono yake yatakapokamilika.
Kuhusu Mbowe bodaboda wamesema wao hawajui chochote na walitegemea waandishi wa habari ndio wenye taarifa zaidi.
Source Clouds tv
Maendeleo hayana vyama!
Game ya Xbox 360We unakuwaga na habari zakipumbavu sasa 360 ndo nini
lazima unabinuliwa nduguWatangazaji wa Clouds 360 wametembelea kijiwe maarufu cha kahawa jijini Dodoma na kufanya mahojiano na madereva wa Bodaboda.
Bodaboda waliulizwa maswali mawili ya msingi:
1. Je, Rais Magufuli akimaliza muhula wake wa pili wa uongozi aongezewe 10 mingine?
2 Je, kwa mnavyofahamu Mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe alivamiwa au alianguka mwenyewe?
Bodaboda wamependekeza Rais Magufuli aendelee na uongozi hadi maono yake yatakapokamilika.
Kuhusu Mbowe bodaboda wamesema wao hawajui chochote na walitegemea waandishi wa habari ndio wenye taarifa zaidi.
Source Clouds tv
Maendeleo hayana vyama!
😂😂We unakuwaga na habari zakipumbavu sasa 360 ndo nini
wenzako wako kazini , wakiandika wanalipwa .We unakuwaga na habari zakipumbavu sasa 360 ndo nini
wenzako wako kazini , wakiandika wanalipwa .
Huyo sam sa sali yuko kikapeni zaidi tangu apigiwe simu na rais ndio kabisaa kawa boya.Watangazaji wa Clouds 360 wametembelea kijiwe maarufu cha kahawa jijini Dodoma na kufanya mahojiano na madereva wa Bodaboda.
Bodaboda waliulizwa maswali mawili ya msingi:
1. Je, Rais Magufuli akimaliza muhula wake wa pili wa uongozi aongezewe 10 mingine?
2 Je, kwa mnavyofahamu Mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe alivamiwa au alianguka mwenyewe?
Bodaboda wamependekeza Rais Magufuli aendelee na uongozi hadi maono yake yatakapokamilika.
Kuhusu Mbowe bodaboda wamesema wao hawajui chochote na walitegemea waandishi wa habari ndio wenye taarifa zaidi.
Source Clouds tv
Maendeleo hayana vyama!
Ahsante kwa kuja bwashee!We unakuwaga na habari zakipumbavu sasa 360 ndo nini
Duh!!!lazima unabinuliwa ndugu
Babz Terrible Teen ndu anabinuliwa bwashee!lazima unabinuliwa ndugu
OgumileOgwo mshaija nashana emana , nkizoka mbamuwa elfu mushanju bulikilo kuluga Lumumba , chonka byona naku nizozikumkola omuntu kubamfwela.