Ngoja nikusahihishe dada,ni kweli ilikuwa awepo kwenye fiesta Mwanza but ratiba ilimbana.
kwanza Ijumaa alikuwa na show zanzibar..wakati huo alikuwa ana kabiliwa na show mbili kwa usiki mmoja,Fiesta mwanza na show nyingine Geita kwa vile Mwanza alitakiwa apande sa 7 ilimbidi aende Geita,so tulienda Geita usiku huo akapiga show but hali ikivyokuwa ilikuwa vigum akatishe show njian watu walikuwa kama wamepagawa kwa show yake angekatisha watu wasingemwelewa
amekuja kumaliza show usiku ushaenda na hakukuwa na pantoni ya kutuvusha kurudi mwanza kwa usiku huo huo.
hata hivyo kesho yake alifanya onyesho Mwanza ndani ya Gold crest hotel,na kwa mara ya kwanza kabisa
alliimba na bend live.
Ahsanten.