kwa hyo ulikua unaenda hyo mikoa yote kufuata fiesta? halaf wewe si umemsifia ruge juzi kuwa anajua kufungua vijana kwa fursa?
Dah,aaaah aaaah nimeku like bure wangu duh,we mkaleeee
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
FURSA - Majinga makubwa yanakaa kusikiliza elimu ya ujasiriamali kutoka kwa Lulu.
Kwenye shoo ya Mtwara mlisema anakuja Ommy Dimpoz. Hatukumuona. Kwenye shoo ya Iringa mlisema anakuja AY. Hatukumuona. Kwenye shoo ya Mwanza mlisema anakuja Diamond. Hatukumuona.
Kama ndiyo njia mliyogundua ya kuwaibia raia basi mmebugi kinomanoma. Mnapotea wazee.
Ngoja nikusahihishe dada,ni kweli ilikuwa awepo kwenye fiesta Mwanza but ratiba ilimbana.
kwanza Ijumaa alikuwa na show zanzibar..wakati huo alikuwa ana kabiliwa na show mbili kwa usiki mmoja,Fiesta mwanza na show nyingine Geita kwa vile Mwanza alitakiwa apande sa 7 ilimbidi aende Geita,so tulienda Geita usiku huo akapiga show but hali ikivyokuwa ilikuwa vigum akatishe show njian watu walikuwa kama wamepagawa kwa show yake angekatisha watu wasingemwelewa
amekuja kumaliza show usiku ushaenda na hakukuwa na pantoni ya kutuvusha kurudi mwanza kwa usiku huo huo.
hata hivyo kesho yake alifanya onyesho Mwanza ndani ya Gold crest hotel,na kwa mara ya kwanza kabisa
alliimba na bend live.
Ahsanten.
Mkuu,labda ni ujasiriamali wa kwenye chupi.FURSA - Majinga makubwa yanakaa kusikiliza elimu ya ujasiriamali kutoka kwa Lulu.