Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,059
- 1,572
Elewa nilichoandika mkuu... PAMOJA NA HAYO, UTAMU WA MAISHA UPO KWENYE TOFAUTI ZETU... Utawaona warefu kwa vile kuna wafupi..Sasa UNABISHA NINI??? Clouds kuna mshoga na its true mi nnao wajua na nimethibitisha ni zaidi ya 4 sasa UNABISHA NINI??? umenikera kweli kujifanya we mpole na una busara sana kumbe hujui kitu..mmezoea kubisha tu hata msio yajua,..shame!
Sasa UNABISHA NINI??? Clouds kuna mshoga na its true mi nnao wajua na nimethibitisha ni zaidi ya 4 sasa UNABISHA NINI??? umenikera kweli kujifanya we mpole na una busara sana kumbe hujui kitu..mmezoea kubisha tu hata msio yajua,..shame!
nakuunga miguu na mikonoclouds are just stupid ass mofos'
mi kusema ukweli nimechoka kusikia haya makorokoro ya vinega sijui klaudis..hebu tujadili mambo mengine bana
Rama dee na adili kwenye facebook wameandika kuwa kusaga na kinje wamekaa kikao na kujadili jinsi ya kupunguza makali vinega na vinega wamerekodi mazungumzo yao acheni hayo mambo mjue sasa ishu si ya vinega hii movement ipo kwa raia sasa na dunia yote inajua hamuwezi kuzuia mvua mmenyonya sana wasanii vinega sio kama misukule.sasa watapambana na UMA. hawa clouds sijui wanapata nguvu wapi
Soggy doggy alitekwa juzi na kutishiwa maisha yake na pia gari yake kuharibiwa sijui nani anafanya haya mambo
Hii serikali ya kipindi hiki ikimaliza muda wake watu wengi sana watalia
Acha kutoa povu, hakuna shoga hata mmoja, labda wewe msimulia mvua...
Sasa UNABISHA NINI??? Clouds kuna mshoga na its true mi nnao wajua na nimethibitisha ni zaidi ya 4 sasa UNABISHA NINI???
Ungeliwataja kumaliza ubishi
Upumbavu kama huu hasa unapoletwa na mwanamke alie vaa matambarra na kujiziba usoni hua nashindwa kuvumilia...unabisha usichokijua..hebu nenda kale futari ya kitimoto utoe janaba hapa..nyauba we
Vinega anzisheni redio yenu kwani 2mewaita kwanza hao vinega wenyewe wote zilipendwa .hahahahaha
VIVA CLOUDS FM