Clouds acheni vitisho

Vinega wameanza kuchanganyikiwa.
 

Just cut the c.rap and tell us who are those homos, otherwise uko peke yako usitake kusingizia na watu wengine.
 
Hao the so called VINEGA na ANTI VIRUS hawana hata facebook group or page? Are they serious? Au ndio maneno mengi tu ya mtaani?
 
Hao the so called VINEGA na ANTI VIRUS hawana hata facebook group or page? Are they serious? Au ndio maneno mengi tu ya mtaani?

Ipo page inaitwa antvirus au kuna group inaitwa swahili original mbona huulizi kwa nini wao wafu fm wanaikimbia facebook
 
Vinega wameanza kuchanganyikiwa.

Haoo mabosi wako wakina kusaga wanaokesha wakimuwaza sugu na vinega eti mnawapigia simu vinega na aibu yenu
 
una uhakika na unacho kinena? tembelea swahili original udownload hadi mapini mbali kuwa na official account auntvirus ni movement tunatumia facebook account zenu kuwambia ukweli ktk wall zao karibu kwa peen lawyer tuwachane hawa wanyonyaji yaani wakilala wakiamka vinega muulize ncha butu kwa nini kahama kitaa chake?
 
Naanza kupata mashaka sana na juu ya jukwaa hili. Mnanifanya niamini kwamba jukwaa hili liliundwa kwa ajili ya kupambana, kuwatukana, kuwakatisha tamaa na kuwadharirisha Clouds fm. Great thinkers mnaniangusha mbona mnachuki za ajabu hivyo. kwanini msitafute njia mbadala ya kupambana na hao mnaowaita wanyonyaji? Ieleweke kwamba sio wote tunaochangia hoja kwenye Jamii forumns tuko against clouds. Mimi binafsi nawafagilia ile mbaya. Tukiwa huku nje cloud fm ndio radio inayotupa faraja . Inatupa kumbukumbu nzuri za nyumbani. So please acheni kuwachafua. Wakati mwingine nashawishika kuamini labda ni mtu mmoja au wawili wanatumia identities tofauti kuendesha hii vita ili kuonyesha kwamba watu wengi wako against clouds. big up clouds Fm "mti wenye matunda mengi ndio unaoshambuliwa". Niliisha sema na nitaendelea kusisitiza kua Clouds fm wanafanya biashara waacheni wamaximize profit. Je nyinyi ni wasafi sana? Kama wasanii wanaona wananyonywa waende kwenye radio nyingine kwani wame lazimishwa? Na biashara za kuwaita wenzenu mashoga bila evidence ni ufisadi wa mawazo. umejuaje kama ni mashoga kama wewe ujashiriki nao kwenye ushoga? Huo ufisadi wenu wa mawazo na hoja zisizo kua na msingi ndio zinatufanya tuamini kua hakuna ukweli wowote bali kupakana matope.

Ushauri wangu kwa Clouds "don't fight back"pia kuweni waangalifu achana na siasa ya kuegemea upande mmoja. wasikilizaji wenu tunavyama tofauti na wengine hatuna vyama kabisa.
 


Ndugu yangu we uko mbele hali halisi huijui redio ya wafu kwa kutumia big coverage na ushawishi ilionao imekuwa ikinyonya wasanii ukikataa kuwalamba miguu hawagongi nyimbo zako redion refer beef lao la kwanza na kikosi, pia RUGAY katumia ushawishi wake kucontrol hadi tuzo za muziki inaingia akilini producer aliyeproduce nyimbo ambazo zimempa msanii tuzo 9 na nyingine kuwepo ktk kinyang'anyiro akose tuzo apewe lamar kwa nn nyimbo za fishcrab hata ka ni mbaya zinapewa airtime??? Hao wana madudu mengi saana. Wasanii wa bongo elimu ndogo na umaskini unawaponza wanapewa vilaki, mademu na pombe akitokea mtu kuwaamsha kama vinega wanavyofanya wanakuja juu, eti hata ukigombana na dj au presenter kwa issue minor ka ya mademu nyimbo zako hazipigwi bila kumnunulia dj airtime nyimbo zako hazipigwi huu ni nini ka sio ungese. Usifikiri labda hii ni movement ya wachache hebu tembelea facebook wall za mapresenter na madj wa redio ya wafu uone watu wanavyowachana utafrahi, mfano mzuri ni show ya vinega ilivyofanya vizuri bado mikoani itafunika hilo tu linawapa homa kina RUGAY na lazima wataisoma namba thats Y wanatumia watangazaji ambao ni failures na wajinga ka kina kibonde na tukimaliza kuwascan tutawedelete ndio mtaisoma namba
 

Kila mtu anastahili kuwa na maoni yake, yaani tusiwakosoe ili tu tusikuaminishe jinsi fikra zako zinavyotaka kuamini? After all haya ni maoni ya wachangiaji si maoni ya mtandao wa JF, kama wewe wawafagilia wafu fm hukatazwi endelea kuwafagilia na kuwasapoti. Hiyo ndio maana ya kutofautiana mitazamo mkuu
 
Ishu hii ishaingia siasa apo kusaga inabidi uwe makini sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…