Sr. Magdalena
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 803
- 472
Hao mamariooo ni machoko bhana! Usibishe tunawajua au wewe msagwaji mwenzio??
kama wewe siyo mzushi, wataje.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao mamariooo ni machoko bhana! Usibishe tunawajua au wewe msagwaji mwenzio??
Acha kutoa povu, hakuna shoga hata mmoja, labda wewe msimulia mvua...
RED: YANI AVATAR YAKO INAONESHA NI JINSI NA WE NI MTU WA NAMNA GANI..MADRASA ZINA HARIBU SANA..SASA WEWE UNABISHA TUUU ILI NIKUTAJIE URIDHIKE?? HUNILIPI SIKULIPI USINICHOSHE NITATAJA KWA MATAKWA YANGU NA SI KUSHINIKIZWA NA TAKA TAKA KAMA WEWE..kama huamini acha kwani we nani mbaka nitake kuku aminisha/.? we huna tofauti na janamke linalo bakwa kule darfur..jinga la kutupwa..yani JF sometimes ina vimeo..dah..
Wewe wa kwanzzaTaja wawili kabla sijakubandika jina la mnafiki, kuwadi mpenda sifa, usiye na haya wala kuona vibaya.
Hao the so called VINEGA na ANTI VIRUS hawana hata facebook group or page? Are they serious? Au ndio maneno mengi tu ya mtaani?
Vinega wameanza kuchanganyikiwa.
Naanza kupata mashaka sana na juu ya jukwaa hili. Mnanifanya niamini kwamba jukwaa hili liliundwa kwa ajili ya kupambana, kuwatukana, kuwakatisha tamaa na kuwadharirisha Clouds fm. Great thinkers mnaniangusha mbona mnachuki za ajabu hivyo. kwanini msitafute njia mbadala ya kupambana na hao mnaowaita wanyonyaji? Ieleweke kwamba sio wote tunaochangia hoja kwenye Jamii forumns tuko against clouds. Mimi binafsi nawafagilia ile mbaya. Tukiwa huku nje cloud fm ndio radio inayotupa faraja . Inatupa kumbukumbu nzuri za nyumbani. So please acheni kuwachafua. Wakati mwingine nashawishika kuamini labda ni mtu mmoja au wawili wanatumia identities tofauti kuendesha hii vita ili kuonyesha kwamba watu wengi wako against clouds. big up clouds Fm "mti wenye matunda mengi ndio unaoshambuliwa". Niliisha sema na nitaendelea kusisitiza kua Clouds fm wanafanya biashara waacheni wamaximize profit. Je nyinyi ni wasafi sana? Kama wasanii wanaona wananyonywa waende kwenye radio nyingine kwani wame lazimishwa? Na biashara za kuwaita wenzenu mashoga bila evidence ni ufisadi wa mawazo. umejuaje kama ni mashoga kama wewe ujashiriki nao kwenye ushoga? Huo ufisadi wenu wa mawazo na hoja zisizo kua na msingi ndio zinatufanya tuamini kua hakuna ukweli wowote bali kupakana matope.
Ushauri wangu kwa Clouds "don't fight back"pia kuweni waangalifu achana na siasa ya kuegemea upande mmoja. wasikilizaji wenu tunavyama tofauti na wengine hatuna vyama kabisa.