[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lukindo bana!! Mkuu umenikumbusha mwaka jana ile ya diva na lukindo
Enewei, rudi inform James lukindo
akipatiwa kipindi chake mwenyewe itakua poa zaidiAkirudi akae pale Amplifier! wakae na Millard!
Mwaka jana Michael Lukindo aliacha kazi Mjengoni kwa madai anataka akafanye muziki, lakini mwaka umepita sijaona huo mziki akifanya na matokeo yake, labda alikuwa na sababu ingine ambayo hakutaka kuiweka wazi,
Ushauri wangu Uongozi wa Clouds mtafuteni huyu mtu, anajua sana kati ya vijana wenye kipaji cha utangazaji huyu nae yumo Mr Informer,
Kuna watu mko nao ila hawako vizuri sana na wameng'ang'ania vipindi, Huyu jamaa arudi this is Public Demand
Diva ndo yupi na kulitokea nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lukindo bana!! Mkuu umenikumbusha mwaka jana ile ya diva na lukindo
Enewei, rudi inform James lukindo
haha kajianzishia uzi?..Naona lukindo kaja kuanzia huku