Clouds come again with Michael Lukindo-ML

mayowela

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
2,125
Reaction score
1,753
Mwaka jana Michael Lukindo aliacha kazi Mjengoni kwa madai anataka akafanye muziki, lakini mwaka umepita sijaona huo mziki akifanya na matokeo yake, labda alikuwa na sababu ingine ambayo hakutaka kuiweka wazi,

Ushauri wangu Uongozi wa Clouds mtafuteni huyu mtu, anajua sana kati ya vijana wenye kipaji cha utangazaji huyu nae yumo Mr Informer,

Kuna watu mko nao ila hawako vizuri sana na wameng'ang'ania vipindi, Huyu jamaa arudi this is Public Demand
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lukindo bana!! Mkuu umenikumbusha mwaka jana ile ya diva na lukindo

Enewei, rudi inform James lukindo
 
Ila jamaa kuimba anajua sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lukindo bana!! Mkuu umenikumbusha mwaka jana ile ya diva na lukindo

Enewei, rudi inform James lukindo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lukindo bana!! Mkuu umenikumbusha mwaka jana ile ya diva na lukindo

Enewei, rudi inform James lukindo
yale yalikuwa mapicha picha sana, hahahah
 
Akirudi akae pale Amplifier! wakae na Millard!
atafaa kabisa, Yule Dada anacheka cheka kipindi kizima kama hajielewi yaani, kipaji alichonacho hakifai kwa utangazaji akifate kwa style ingine
 
Mwaka jana Michael Lukindo aliacha kazi Mjengoni kwa madai anataka akafanye muziki, lakini mwaka umepita sijaona huo mziki akifanya na matokeo yake, labda alikuwa na sababu ingine ambayo hakutaka kuiweka wazi,

Ushauri wangu Uongozi wa Clouds mtafuteni huyu mtu, anajua sana kati ya vijana wenye kipaji cha utangazaji huyu nae yumo Mr Informer,

Kuna watu mko nao ila hawako vizuri sana na wameng'ang'ania vipindi, Huyu jamaa arudi this is Public Demand

Kwa ambao hawafahamu kama ML-Michael Lukindo ni msanii, watafute wimbo unaitwa LIKIZO ft Joh Makini
 
Back
Top Bottom