Clouds FM hawatapiga Bongofleva siku nzima ya leo

Jicho la Tai

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2012
Posts
1,450
Reaction score
600
Clouds FM hawatapiga Bongofleva siku nzima ya leo. Hayo ni maelekezo au amri waliyopewa na Ruge
Source> Clouds Radio
 
Hata wewe ukiamua kuishindisha nja familia yako hakuna atakae kuuliza. Mtu na chake bana
 
wangesema ifungwe isisikike Siku nzima cye tungeshukuru mno,tuna radio 81 bado zinatuhusu na channel kibao za dstv za kuangalia.Kwel kampun binafs zinashida sna
 
wangesema ifungwe isisikike Siku nzima cye tungeshukuru mno,tuna radio 81 bado zinatuhusu na channel kibao za dstv za kuangalia.Kwel kampun binafs zinashida sna

Stl tuna nafasi ya kushukuru cse hata leo wasinge Piga mziki wowote wakashinda wakiongea tu bado hakuna alie lazimishwa kusikiliza. Kwanza vipindi vingi porojo tu!! Mfano jahazi siku hizi wanaendesha kwa mtazamo wa kibonde.

Aaaah
 
Wakalale tu JF yenyewe ni radio + tv tosha BBc Inasubir sna tuna reporter Dunia nzima sembuse Hao kusikika Tz ndo imekua ishu na vipind wanacopy n paste.Nonsense funga kbs waambie wakalale.
 
Wakalale tu JF yenyewe ni radio + tv tosha BBc Inasubir sna tuna reporter Dunia nzima sembuse Hao kusikika Tz ndo imekua ishu na vipind wanacopy n paste.Nonsense funga kbs waambie wakalale.
1000000000%
 
waweke kwaya tuuuuu mbona tumewazoea hao jamaa wabinafsi sana wakiambiwa ukweli kosa ndu....yao
 
Silaha pesa, kisu hatari.!!!
 
ruge na kusaga mmelack entrapreneurs proffesional ethics.
 
kwa kitu chochote kile kunakupanda na kushuka.tatizo ni jinsi ya kusoma alama za nyakati tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…