Jicho la Tai
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 1,450
- 600
Clouds FM hawatapiga Bongofleva siku nzima ya leo. Hayo ni maelekezo au amri waliyopewa na Ruge
Source> Clouds Radio
Source> Clouds Radio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wewe ukiamua kuishindisha nja familia yako hakuna atakae kuuliza. Mtu na chake bana
wangesema ifungwe isisikike Siku nzima cye tungeshukuru mno,tuna radio 81 bado zinatuhusu na channel kibao za dstv za kuangalia.Kwel kampun binafs zinashida sna
Wakalale tu JF yenyewe ni radio + tv tosha BBc Inasubir sna tuna reporter Dunia nzima sembuse Hao kusikika Tz ndo imekua ishu na vipind wanacopy n paste.Nonsense funga kbs waambie wakalale.Stl tuna nafasi ya kushukuru cse hata leo wasinge Piga mziki wowote wakashinda wakiongea tu bado hakuna alie lazimishwa kusikiliza. Kwanza vipindi vingi porojo tu!! Mfano jahazi siku hizi wanaendesha kwa mtazamo wa kibonde.
Aaaah
1000000000%Wakalale tu JF yenyewe ni radio + tv tosha BBc Inasubir sna tuna reporter Dunia nzima sembuse Hao kusikika Tz ndo imekua ishu na vipind wanacopy n paste.Nonsense funga kbs waambie wakalale.
1000000000%