Clouds fm jipangeni tena

Clouds fm jipangeni tena

angedizzle

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2011
Posts
590
Reaction score
504
Kupitia account yake ya Twitter msanii Alaine ameandika hivi:

Alaine Laughton Alainesinga

"Tanzania I love you. The sound system however did not love me. The delay was so bad. Couldn't hear myself. Didmy best under thecircumstances"

Tunajua mnapiga pesa ndefu sana,jipangeni kwa vitu vidogo kama hivi.....MIA
 

Attachments

Last edited by a moderator:
Nadhani pengine Dj Bonny Luv hakushirikishwa kuweka sawa Sound system.
 
Clouds walijihujumu jana. Kilicho sababisha ni mgawanyo wa majukumu na hela kiduchu wanacholipwa wafanyakazi wakati hela ndefu inapigwa. Jana kuna waliokuwa wananyeshewa mvua ili hii shughuli ifanikiwe lakini wengine walikua coco na mabasi yenye nembo ya fiesta wakila bata. mia
 
Hizo ni changamoto tu. Zitafanyiwa kazi.
 
Clouds media kuna sehemu wameteleza na wanatakiwa kupaangalia
 
dua za watu zilipokelewa, no one can jugde u except God. Ruge na huo ndio mwanzo a jirekebishe.
 
Back
Top Bottom