Jidundufila Member Joined Nov 2, 2010 Posts 86 Reaction score 11 Jul 4, 2011 #1 Katika kipindi cha PB leo asubuhi Hando kaahidi kumpatia comlementary 10 mbunge wa mbeya mjini pamoja na wapambe wake ili waje kuona tamasha kubwa ambalo hawajawahi ona. Great Thinkers mnasemaje kuhusu hili
Katika kipindi cha PB leo asubuhi Hando kaahidi kumpatia comlementary 10 mbunge wa mbeya mjini pamoja na wapambe wake ili waje kuona tamasha kubwa ambalo hawajawahi ona. Great Thinkers mnasemaje kuhusu hili
T The Priest JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 1,029 Reaction score 258 Jul 4, 2011 #2 Wanamtusi kiaina,wako juu zaidi yake,atemane nao 2.
nkasoukumu JF-Expert Member Joined Nov 27, 2010 Posts 894 Reaction score 412 Jul 4, 2011 #3 may be wameona jinsi alivyo maarufu so wana hisi kama akihudhuria watu wengi wata fika kwenye hilo tamasha lao
may be wameona jinsi alivyo maarufu so wana hisi kama akihudhuria watu wengi wata fika kwenye hilo tamasha lao
M MONTESQUIEU JF-Expert Member Joined Nov 8, 2010 Posts 847 Reaction score 80 Jul 4, 2011 #4 Wanajikomba hawa Hawana lolote!