Clouds fm kumpa Mbunge wa mbeya mjini complementary Fiesta Mbeya

Clouds fm kumpa Mbunge wa mbeya mjini complementary Fiesta Mbeya

Jidundufila

Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
86
Reaction score
11
Katika kipindi cha PB leo asubuhi Hando kaahidi kumpatia comlementary 10 mbunge wa mbeya mjini pamoja na wapambe wake ili waje kuona tamasha kubwa ambalo hawajawahi ona. Great Thinkers mnasemaje kuhusu hili
 
may be wameona jinsi alivyo maarufu so wana hisi kama akihudhuria watu wengi wata fika kwenye hilo tamasha lao
 
Back
Top Bottom