Clouds Fm kuwachukulia hatua Roma na Stamina ikugundulika walitaka kuhujumu

Clouds Fm kuwachukulia hatua Roma na Stamina ikugundulika walitaka kuhujumu

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Inafahamika kwamba [HASHTAG]#RomaMkatoliki[/HASHTAG] na [HASHTAG]#Stamina[/HASHTAG] ni wasanii wenye uwezo mkubwa. Mwaka 2016 walifanya vizuri sana kwenye Fiesta. Hata hivyo, hilo haliwapi mamlaka ya kuchafua Taasisi yoyote.

Tumesikia kwamba walifanya mazungumzo yenye kutia shaka kuhusu [HASHTAG]#UsajiliWaTigoFiesta2017[/HASHTAG], lakini [HASHTAG]#MaraPaap[/HASHTAG] mazungumzo yao yalidakwa na vyombo vya usalama.

Mawasaliano hayo yanachunguzwa kwa umakini ili kugundua kama walitaka kufanya hujuma ama laa. Iwapo walifanya hujuma hatutawavumilia ; kanuni na sheria zitafuata mkondo.

[HASHTAG]#Tumekusoma[/HASHTAG] : Taarifa zaidi zitapatikana kupitia [HASHTAG]#RedioYaWatu[/HASHTAG] na kurasa za @tigo_tanzania. zitafuata

upload_2017-8-22_14-31-21.jpeg
 
hujui kama ruge anamsimia Roma kwenye baadhi ya mambo?
sahau
 
shtuka kaka, apo wameangazwa kama wasanii rasmi watakao tumika kwenye fiesta msim huu
 
Hii mikanganyiko itatokea mingi tu, nyie kaeni mikao ya kula....mkiuliza mtaambiwa fiesta hiyo inakuja.
 
Back
Top Bottom