Clouds FM kuwatema watangazaji PJ, Gerald Hando na Abel Onesmo wa Power Breakfast

Wachina kwenye kesi kama ile hawana mzaha!
Yule ndio harudi tena Jux akiweza afunge ndoa kabisa!
inaonesha ufatilii mlolongo wa hukumu ya jack, kesha hukumiwa kifungo cha miaka 6 jela then out.
 
Karma is a real B! £€# Nakumbuka Fundikira alipokuwa nyuma ya nondo Jack alikuwa anajiachia sasa Yeye yupo nyuma ya nondo wacha jux na fundikira wajiachie.
 
Mmh beach beibe na yeye alitanua, ila akiongea kingereza chake,ilikuwa ndio hivyo hivyo. Akitoka Huko lugha ya wachina atakuwa anaongea kama mchina mwenyewe, alikuwa mwenyewe akivaa anapendeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…