Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu yule binti kule si alikua kwenye ndoa,kisha mume aliponasa lupango kwa haya haya mavumbi akampotezea, sasa jamaa yuko free na kaoa former miss TZ ni karata za maisha ni balaa.kwanza binti mwenyewe ukute harudi karne hii we unadhani jamaa atajiunga na CHAPUTA wakati watoto wakali wapo
Unatafuta kick tu hapa bwegge wewe, unamjuwa Fundikira? if you kill by matches u will die by it, karma is a bitch.Sabakher Wadau;
Nimekaa Nalo Moyon Nimeamua Niseme!
Jux Alikuwa Ana Mahusiano Moto Na Mtoto Jack!! Naami Katika Mahusiano Yao Yale Maneno Baby Nakupenda! Siko Tayar Kukuacha! Nitakufa Kwa Ajil Yako Yalikuwepo! Sasa Bahat Mbaya Mtoto Akakamatwa China Na Kufungwa! Ni katika Harakat Za Maisha! Then Ukamuimbia Nitasubir! Nilifurah Sana!
Sasa Baada Ya Hapo Ukazama Kwa Vanesa! Et Ooh! Mim Ckutegemea Kam Anapiga hzo mambo! Sasa Wakat Unaimba nitasubir! Ulikuwa Hujajua bado! Mbona Unaharibu Sifa za Wanaume? Na Kama Ndo Ungekamatwa Wew Demu Angechepuka We Ungemuonaje?
Wanaume Tuwe Na Misimamo Kwa Wanawake Tunaowapenda Na Tukumbuke Ahad Zote Tunazowapa Wanawake!
Mtoto Next Year Anarud! Tena Mupya Maana Haijatumiwa kwa 3 yearz!! Lazima Uumie.
Div 5 in action, mtu kapigwa mvua za kutosha unasema unasubiri... Na vijana wa siku hizi na figisu zenu hizo!Sabakher Wadau;
Nimekaa Nalo Moyon Nimeamua Niseme!
Jux Alikuwa Ana Mahusiano Moto Na Mtoto Jack!! Naami Katika Mahusiano Yao Yale Maneno Baby Nakupenda! Siko Tayar Kukuacha! Nitakufa Kwa Ajil Yako Yalikuwepo! Sasa Bahat Mbaya Mtoto Akakamatwa China Na Kufungwa! Ni katika Harakat Za Maisha! Then Ukamuimbia Nitasubir! Nilifurah Sana!
Sasa Baada Ya Hapo Ukazama Kwa Vanesa! Et Ooh! Mim Ckutegemea Kam Anapiga hzo mambo! Sasa Wakat Unaimba nitasubir! Ulikuwa Hujajua bado! Mbona Unaharibu Sifa za Wanaume? Na Kama Ndo Ungekamatwa Wew Demu Angechepuka We Ungemuonaje?
Wanaume Tuwe Na Misimamo Kwa Wanawake Tunaowapenda Na Tukumbuke Ahad Zote Tunazowapa Wanawake!
Mtoto Next Year Anarud! Tena Mupya Maana Haijatumiwa kwa 3 yearz!! Lazima Uumie.
Hahahahahaa jamani?Hapa ndipo ninapowapendea wanaume wa Dar,ubuyu wote wa mastar wa Dar wanao wao,huwezi kuupata kwa akina dada.
Yeuwiiie, karne ya 23 Si dunia itakuwa ishaisha wajameniHuyo harudi karne hii ya 21.labda tumtarajie karne ya 23.
warumi uko right bro! Lakin mi nadhan ingekuwa better kama jamaa angepiga kinyele!! Kuliko wazwaz! Na ingekuwaj kam angekamatwa jux? Huyu demu 2singemuita malaya?
Hahahahahaa jamani?
Daaaah umenikumbusha kipenzi changu popoma aliyetukuka GENTAMYCINE....Kwani uwongo Nifah ? ni wapenda ubuyu waliotukuka hapa nchini!
Daaaah umenikumbusha kipenzi changu popoma aliyetukuka GENTAMYCINE....
Popote utakapomuona mpe salamu zangu.