Clouds FM kuwatema watangazaji PJ, Gerald Hando na Abel Onesmo wa Power Breakfast

Clouds FM kuwatema watangazaji PJ, Gerald Hando na Abel Onesmo wa Power Breakfast

kwanza binti mwenyewe ukute harudi karne hii we unadhani jamaa atajiunga na CHAPUTA wakati watoto wakali wapo
Halafu yule binti kule si alikua kwenye ndoa,kisha mume aliponasa lupango kwa haya haya mavumbi akampotezea, sasa jamaa yuko free na kaoa former miss TZ ni karata za maisha ni balaa.
 
Sabakher Wadau;
Nimekaa Nalo Moyon Nimeamua Niseme!
Jux Alikuwa Ana Mahusiano Moto Na Mtoto Jack!! Naami Katika Mahusiano Yao Yale Maneno Baby Nakupenda! Siko Tayar Kukuacha! Nitakufa Kwa Ajil Yako Yalikuwepo! Sasa Bahat Mbaya Mtoto Akakamatwa China Na Kufungwa! Ni katika Harakat Za Maisha! Then Ukamuimbia Nitasubir! Nilifurah Sana!
Sasa Baada Ya Hapo Ukazama Kwa Vanesa! Et Ooh! Mim Ckutegemea Kam Anapiga hzo mambo! Sasa Wakat Unaimba nitasubir! Ulikuwa Hujajua bado! Mbona Unaharibu Sifa za Wanaume? Na Kama Ndo Ungekamatwa Wew Demu Angechepuka We Ungemuonaje?
Wanaume Tuwe Na Misimamo Kwa Wanawake Tunaowapenda Na Tukumbuke Ahad Zote Tunazowapa Wanawake!
Mtoto Next Year Anarud! Tena Mupya Maana Haijatumiwa kwa 3 yearz!! Lazima Uumie.
Unatafuta kick tu hapa bwegge wewe, unamjuwa Fundikira? if you kill by matches u will die by it, karma is a bitch.
 
Sabakher Wadau;
Nimekaa Nalo Moyon Nimeamua Niseme!
Jux Alikuwa Ana Mahusiano Moto Na Mtoto Jack!! Naami Katika Mahusiano Yao Yale Maneno Baby Nakupenda! Siko Tayar Kukuacha! Nitakufa Kwa Ajil Yako Yalikuwepo! Sasa Bahat Mbaya Mtoto Akakamatwa China Na Kufungwa! Ni katika Harakat Za Maisha! Then Ukamuimbia Nitasubir! Nilifurah Sana!
Sasa Baada Ya Hapo Ukazama Kwa Vanesa! Et Ooh! Mim Ckutegemea Kam Anapiga hzo mambo! Sasa Wakat Unaimba nitasubir! Ulikuwa Hujajua bado! Mbona Unaharibu Sifa za Wanaume? Na Kama Ndo Ungekamatwa Wew Demu Angechepuka We Ungemuonaje?
Wanaume Tuwe Na Misimamo Kwa Wanawake Tunaowapenda Na Tukumbuke Ahad Zote Tunazowapa Wanawake!
Mtoto Next Year Anarud! Tena Mupya Maana Haijatumiwa kwa 3 yearz!! Lazima Uumie.
Div 5 in action, mtu kapigwa mvua za kutosha unasema unasubiri... Na vijana wa siku hizi na figisu zenu hizo!
 
Hapa ndipo ninapowapendea wanaume wa Dar,ubuyu wote wa mastar wa Dar wanao wao,huwezi kuupata kwa akina dada.
 
Huyo harudi karne hii ya 21.labda tumtarajie karne ya 23.
 
warumi uko right bro! Lakin mi nadhan ingekuwa better kama jamaa angepiga kinyele!! Kuliko wazwaz! Na ingekuwaj kam angekamatwa jux? Huyu demu 2singemuita malaya?

We headless pig!! Warumi is a woman, do not bro her!! Naona unaendekeza harakati zako za kupost ujinga ujinga for likes, yaani wewe nina uhakika kwa asilimia 100% kuwa ni mtu mpuuzi kuwai kutokea duniani😀😀😀
 
mhh jux ameshindwa kuvumilia huku anamiliki ghorofa
 
Headless dead body😀😀😀 naona uko busy kutafuta uplatinum member, kila kona post yako.

Afu umekaa kimbea mbea kweli, ungeingia jf miezi mitatu nyuma pengine ungekuwa level za Warumi na niffa🙄
 
Jack naye mchepukaji tu si ni mume wa mtu!! Mke punda mume naye punda wote wako lupango!! Huyu Jack soon tu mume alipowekwa ndani akaanza kuchepuka ndo maana akapata laana naye akawekwa ndani tena yeye china unaweza kuta ashanyongwa now
 
Jack mtoto mzuri sana yule bahati mbaya tu alijiingiza kwenye ule ujinga....Vanessa hagusi pale hata kwa mbali....

Japo huo ndio ukweli mchungu hata Jack asingemsubiri Jux kama ingekuwa vice versa
 
Avumilie kwani kamuoa..mtu mwenyew alikua mke wa mtu mumewe alivyofungwa mbona hakuvumilia...umekuja lini mjini...?? Hujui jack ana mume.?...ingekua bora ungeanza kumsema Jack kuwa n demu asotulia
 
Labda ungekuwa dem ungeeleka kiasi flani, lakini mwanaume kushokea vitu kama hivi na kama inavyosemekana hapa kmamba manzi mwenye alikuwa mke wa mtu na alishamtosa mumewe alipokuwa jela we jamaa utakuwa umekurupuka vxa kutosha
 
Back
Top Bottom