Clouds FM kuwatema watangazaji PJ, Gerald Hando na Abel Onesmo wa Power Breakfast

A. Chifupa alipita but mambo yalisonga, wapo wengi wabunifu na wenye vipaji tatizo hawajapa nafasi ya kuonyesha jamii walicho nacho, popote akiondoka mtu yupo wa kifiti bila kujali itachukua mda gani..worry out sir
Mkuu unajua Chifupa alikuwa anatangaza kitu gani enzi zake?
 
Wamuweke hata Zembwela...au Mkwere wa Mizengwe
 
ila Hando kwenye PB ana design flani hivi ya kuongea na maneno ya kejeli mpaka kipindi kina kuwa kifupi ila ukimleta kwenye TV duh anakuwa hovyo sana maana anaonekana ana wasi wasi ila nahisi ni kwa watangazaji wote maana ukimsikiliza diva love unaweza ukajua bonge la pini njoo muone fizikali duh
 
Unatakiwa uone mbele zaidi ili ufikie kilele cha mafanikio zaidi
 
Kwa hiyo huamini kama hao walioondoka waliondoka na watu?clouds wasikilizaji wake ni vichaa tupu.
 
Watatokea wengine wazuri tu. Kama unakumbuka vema, kabla yao kulikuwa na kina Fina na hata huyu Masoud (KP) lakini leo hii si mmeshawasahau kabisa!?
Hivi unakumbuka afrika bambataa?
 
Reactions: SMU
Uko clouds nini?
 
walimcheka kipanya sasa imekula kwao
 
Kwa sisi tuliowah kupitia mafunzo ya Human Resource managament ni kosa kumbwa kumfanya mtu fulan awe juu ya taasisi anayoifanyia kazi, taasisi sio mtu mmoja au wawili . Mimi siipend clouds media kabisa ila nadhan uamuz wa Ruge ulikuwa hauepukiki.

Duc in Altum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…