nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 1,033
- 895
Acha wafu wazikane.....Naomba kuuliza kuna tatizo lililosababisha kukatika matangazo ya Clouds FM au kuna mabadiliko ya Mitabendi?
Bado mnasikiliza Redio ? Hiiii bhagoshaNaomba kuuliza kuna tatizo lililosababisha kukatika matangazo ya Clouds FM au kuna mabadiliko ya Mitabendi?
Yaani hawa jamaa wanaboa,..Wanakata matangazo kama TANESCO vile,..naona wameshatuzoea wasikilizaji..Naomba kuuliza kuna tatizo lililosababisha kukatika matangazo ya Clouds FM au kuna mabadiliko ya Mitabendi?