Clouds FM: Mfano wa jinsi ubunifu ulivyo na faida

Clouds FM: Mfano wa jinsi ubunifu ulivyo na faida

Radhia Sweety

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Posts
4,433
Reaction score
1,771
Watu wanajiuliza kwanini Clouds inaongoza kwa kuwa na idadi kubwa kuliko wasikilizaji wa radio stations zote. Jibu ni moja tu: ubunifu.
Kwa mfano, wakati Radio 1 bado wanapiga ma-jingle yaliyobuiwaga na akina yaliyobuniwaga na Mike Mhagama mwaka 1994, Clouds FM huwa hawapigi jingle moja kwa kipindi cha miezi 3 bila kuibadilisha.
Kweli Clouds ni mfano wa kuigwa juu ya umuhimu wa kuwa wabunifu na wapya kila siku.
 
Hapa tulipo na aina ya watu tuliopo....una wakati mgumu sana wa uzi wako kuchangiwa chochote...anyway ngoja nikachangie mada zinazojenga taifa na hasa katiba mpya...waacheni wafu wazike wafu wao..clouds fm radio ya wafuuuuuuuuuuuuu
 
clouds fm ni radio bora... Watu wanaichukia bure tu..mi nawaona wanafiki kwanza coz wanaisikiliza...
 
kwa hiyo wewe kwenye radio unasikiliza jingles tu.
 
Radhia ndo analeta post zote za machoko wa maghorofani iwe _ve au+ve
 
Watu wanajiuliza kwanini Clouds inaongoza kwa kuwa na idadi kubwa kuliko wasikilizaji wa radio stations zote. Jibu ni moja tu: ubunifu.
Kwa mfano, wakati Radio 1 bado wanapiga ma-jingle yaliyobuiwaga na akina yaliyobuniwaga na Mike Mhagama mwaka 1994, Clouds FM huwa hawapigi jingle moja kwa kipindi cha miezi 3 bila kuibadilisha.
Kweli Clouds ni mfano wa kuigwa juu ya umuhimu wa kuwa wabunifu na wapya kila siku.

Kweli ni wabunifu hasa maana watoto wakiume wavaa suruali zenye zipu nyuma kwenye makalio.
 
I hate Clouds Fm,Clouds Tv na Ma boss Wao,Ukiifatilia kwa undani zaidi,Clouds ni wauwaji wakubwa wa vipaji vya Muziki wa bongo,Unaikumbuka Smooth Vibes ilio kuwa ukiwa jumuisha Lady Jay D,Fina Mango,Ray C,Mr. Paul na wengine? nini kiliwasibu huko hadi kufikia Jd Kupata JOTO HASIRA? Unakumbuka kisa Cha Ray C kubugia Sembe hadi kufikia hatua Hii aliopo? Na mengine yapo mengi sana ila niwaachie wadau,JOTO HASIRA (Rmx)
 
kuna kitu asee!
nimekutoa maana ujue!basi tu huwezi kujumlisha moja na moja!
 
Back
Top Bottom