Radhia Sweety
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,433
- 1,771
Watu wanajiuliza kwanini Clouds inaongoza kwa kuwa na idadi kubwa kuliko wasikilizaji wa radio stations zote. Jibu ni moja tu: ubunifu.
Kwa mfano, wakati Radio 1 bado wanapiga ma-jingle yaliyobuiwaga na akina yaliyobuniwaga na Mike Mhagama mwaka 1994, Clouds FM huwa hawapigi jingle moja kwa kipindi cha miezi 3 bila kuibadilisha.
Kweli Clouds ni mfano wa kuigwa juu ya umuhimu wa kuwa wabunifu na wapya kila siku.