Clouds fm mkomradhi kulea yatima watakaotengenezwa kesho fiesta???


hayo mabaa yaliyozagaa kila kona ya jiji hili hayachochei maovu? na hayo madanguro aka magesti na yenyewe hayachochei maovu? acheni ku-cherry pick vitu. kuweni consistent. kama unapinga na kuponda fiesta kuwa inachochea maovu...here is some news flash for you....yanayofanyika kwenye mabaa na kwenye hayo madanguro ni mabaya vilevile. lakini mbona hatuwaoni mkishikia bango hayo mabaa?
 
<br />
<br />

Kwa kuelewa tu kuwa kuna madhara....no one from my household will attend....hence I have played my role. I do not want to shift my parental and guardia responsibility to clouds media group.

the point here is if people think it doesnt suit them, its immoral basi msiruhusu wale ambao hawawezi kujifanyia maamuzi ya busara kwenda (under 18)

Kama tutaacha kwenda basi hawatafanya hilo tamasha, lakini kama hata baada ya miaka kumi bado wamo, ni dhahiri lina wapenzi.
 
hivi mtu mzima na akili zake timamu anaenda fiesta kwa pesa yake, analewa, anacheza muziki, anajikamatia mtu, wanangonoka na kupeana mimba na pengine hata maradhi, halafu uilamu clouds?

Sishabikii fiesta, sijawahi kwenda kwa hiyari yangu na utashi wangu, lakini siwezi kulazimisha kila mtu aione niionavyo mimi!
 

salute mkuu
husika na taarifa hapo juu sidhan kwa kuwa afrikasana wana mabinti wanajiuza sana then nikafungue na mi bar na kuita maraya kwa a jili ya kuweka danguro..nadhan kwenye hekima tutatumia hekima tunayaacha kuyafanyia kazi ni kama ulivyosema naomba mwenye akili atajua nini namaanisha

fiesta njema
 
Kwa nini huwapendi Clouds?

ha haaaa
well sio kuwachukia...
i dont hate them,i dislike them...
i dont listen clouds fm,
i prefer bbc ,news and news
not bongofleva music most of the time
 



ehhh mjomba unajua kusuta dahh...isha mashauzi aoni ndani....

demu wako asi anakoma....full kumsuta akikukorofsha....


WAKILI BNAFS WA CLOUDS ...i like t..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…