Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Fiesta inachochea sn maovu, mwenye mada kaeleza ukwel mtu. Fiesta imejaa mambo machafu mengi tena yanayowagusu vijana wadogo moja kwa moja. Wote mnaobisha kwanza hamuhudhurii fiesta na kama mnaenda hamuendi na girl friend zenu wala hamuwaruhusu wadogo zenu hasa wakike wahudhurie so acheni ushabidi usio wa maana jikiteni kwenye point za msingi.
hayo mabaa yaliyozagaa kila kona ya jiji hili hayachochei maovu? na hayo madanguro aka magesti na yenyewe hayachochei maovu? acheni ku-cherry pick vitu. kuweni consistent. kama unapinga na kuponda fiesta kuwa inachochea maovu...here is some news flash for you....yanayofanyika kwenye mabaa na kwenye hayo madanguro ni mabaya vilevile. lakini mbona hatuwaoni mkishikia bango hayo mabaa?