MZALENDOWAKWELIKWELI
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 331
- 210
Soma uzi btn words, "hatukatai matangazo ya biashara, hoja ni kero ya matangazo kuzidi viwango vya kawaida". Wasikilizaji tukiikimbia hata hiyo laki 2 watakosa. They should balance.Watangazaji wakilipwa 200k kwa mwezi bado tena mnalalamika..
Sikilizeni TBC nayo ni radioKumbe ipo hewani!!? Huku SHINYANGA, ni mwezi sasa hatuipati. Kwa KUDANDIA uzi huu, naomba hao Cloud wafahamu tatizo tulilonalo, na walitatue hilo tatizo lililosababisha kukatika kwa matangazo yenu.
Shida matangazo yao yanahitaji tabasamu la mamba kuyasikiza 😁😁Azam TV ndo baba lao matangazo yao ni ya vipindi vyao tu. Hakika wamekuja kibiashara
Ukiona kipinid kina matangazo mengi, jua wenye matangazo wanakikubali kuwa kinawapa value for money.Kipindi Chao Cha Michezo kile cha usiku Ni kero kwa matangazo,hovyo kabisa.Nilisha acha kitambo kuwasikiliza.
FactUkiona kipinid kina matangazo mengi, jua wenye matangazo wanakikubali kuwa kinawapa value for money.
Ndio maana na Mimi nimekubali Hilo na huo Muda ninatumia kupiga puli.Ukiona kipinid kina matangazo mengi, jua wenye matangazo wanakikubali kuwa kinawapa value for money.
Sundar solar panel??Azam TV ndo baba lao matangazo yao ni ya vipindi vyao tu. Hakika wamekuja kibiashara