Squidward
JF-Expert Member
- Jul 21, 2014
- 7,828
- 9,546
Azam TV ndo baba lao matangazo yao ni ya vipindi vyao tu. Hakika wamekuja kibiashara
A yu siriaz mkuu? 😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Azam TV ndo baba lao matangazo yao ni ya vipindi vyao tu. Hakika wamekuja kibiashara
Hao ndio wanaowalipa mishahara wafanyakazi na kuiendesha Clouds.Pili redio zipo nyingi ukiona wana kuboa badilisha chanel.Hatukatai kurusha matangazo ya biashara, kinachoboa ni bandika bandua ya matangazo tu mwanzo mwisho for a long long time.
Kinachoboa zaidi tangazo lilelile ulilolisikia sekunde iliyopita, unalisikia tena baada sekunde chache, as if wasikilizaji ni viziwi na wasahaulifu kila baada ya sekunde
Hamnaga standard ya interval ya tangazo moja na lingine? Kuweni advanced, acheni u'local. MNABOA mpaka mnatulazimisha tuhame stesheni wakati tunawapenda.
Badilikeni