Clouds FM na kipindi chao cha matusi usiku.

NITE EXPRESS

The only gem of more value than the show Nite Express is the host Sophia Kessy!

Let the angel of the night whisper you to sleep every day from 8 pm till 11 pm on CLOUDS FM with a soft mix of music and soothing words to make you feel the love of a truly modern Swahili woman! You are encouraged to leave all your troubles at her hands as she skillfully soothes and caress you with an enabling environments that's truly loving

Sophia believes in the significance of a woman's place in the home, she is the glue that holds the walls together. She values her family yet she must be active, get herself busy and have her own life!

She stands on her own two feet and in doing so is able to hold up her man when the going gets tough. She is the rib that every man is searching for since the Garden of Eden!
 
hao tume ya utangazaji na wao ni wasikilizaji wazuri..............
 


nasikitika kuwa umekurupuka bila kuelewa swali langu, ckuwa na maana ya kushirikishwa aliyoyasikia ktk kipindi bali hizo regulations za TCRA kuhusu hilo jambo kama ni kosa au si kosa,
 
Watu wa JF acheni unafki, sioni tatizo la clouds hapo ila ni ujinga tu tuanaojadili hapa kipindi kanarushwa wakati muafaka kabisa sasa mtomto anaposikiliza hiyo ni tatizo lake lakini wao wamechukua hatua ya kuhakikisha kinawafikia walengwa tu kama invisible na mabo yake ya kikubwa, mbona hamsemi JF MAMBO YA KIKUBWA ambayo kila mtu at his or her own risk anaweza kupata access, kwani invisible anapogrant access huko anafuatilia kujua kuwa watowato hawaingii na yanayowekwa huko TCRA hana mkono wake au ndo chuki binafsi na hiyo redio- tunatoa kibanzi kwenye macho ya wenzetu wakati tuna miti ndani ya macho yetu
 

uwe unasikiliza wapo radio or prais power
 
Sikiliza redio tumaini pekeee kwa habari na vipindi vizuri, ni redio pekee...!!
 

najua uliendelea kusikiliza mpaka mwisho
 
Walikirusha hicho kipindi usiku wakijua watoto wamelala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…