Clouds FM na kizungu

Clouds FM na kizungu

Mwita25

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
3,831
Reaction score
1,169
Hawa jamaa lugha ya malkia hakuna kabisa, yaani wanamtegemea mtu mmoja tu, NCHA KALI. Siku ile alipokuja Luda, ilibidi watangazaji wote wa ''Leo Tena'' wakimbie studio kwa muda kumpisha.

Yaani kumbe ulisikia nilicheka sikumbili kabla kipindi cha jahhazi wakina kibonde na mwenzio walikuwa wanafanya mazoezi kwa kuuliazana embu niambie amekuja luda fanya m ndio luda mwnzie akaanza kuongea kiiiiiiiingereza unajua kuna kingerezaa na kiiiingereza loh..lwakata cha ajabu hata alipofika kibonde hata akusikika ..na shida sio kuwa na degree tu haata zile za english course walikimbia zilisaidia sana nakumbuka wakati nasoma kuna watu wakiwa chuon wanasoma mashahala cha kuombea tra wanipunguzie bili yao sikosi anyway ameondoka nahsi wana amaani zaidi

kibonde yupo fluent kwa kingereza
but again kingereza cha ludacris sio kingereza tulichofundishwa mashuleni

kibonde yupo fluent kwa kingereza

but again kingereza cha ludacris sio kingereza tulichofundishwa mashuleni

Kibonde anaungaunga tu, hajui kabisa kiingereza. Ni hicho kiswanglish chake, eti anafanya kama ana lafudhi ya kimarekani, hamna kitu

Hawa jamaa lugha ya malkia hakuna kabisa, yaani wanamtegemea mtu mmoja tu, NCHA KALI. Siku ile alipokuja Luda, ilibidi watangazaji wote wa ''Leo Tena'' wakimbie studio kwa muda kumpisha.

Peleka kwenye jukwaa husika limeanzishwa la Clouds FM/ Kibonde.....sorry this is forum under construction

Kibonde anaungaunga tu, hajui kabisa kiingereza. Ni hicho kiswanglish chake, eti anafanya kama ana lafudhi ya kimarekani, hamna kitu

wakati kibonde yupo
channel ten
nimewahi kumuona akimu interview mzungu mmoja
mambo ya michezo na sikuona tatizo
alikuwa very fluent

sasa mambo ya muziki wa hip hop
huwezi sema anayajua sana,kumuhoji ludacriss ana haki ya kukwepa

Kiingereza si lugha mama kwa nchi yetu. Kwa hiyo si ajabu kwa Mtanzania kutoweza kuongea Kiingereza kizuri, kwani hata hao Waingereza hawajui kuongea Kiswahili fasaha. Sijui hii kasumba itaisha lini jamani!

Hivi China, Japan, Russia, Singapore, India na Korea wanaongea Kiingereza? Jibu ni hapana, wanafundishwa darasani kwa lugha zao mpaka chuo kikuu na kasi ya maendeleo yao mnaiona! Tubadilike!

wakati kibonde yupo

channel ten

nimewahi kumuona akimu interview mzungu mmoja

mambo ya michezo na sikuona tatizo

alikuwa very fluent

sasa mambo ya muziki wa hip hop

huwezi sema anayajua sana,kumuhoji ludacriss ana haki ya kukwepa

Alipewa maswali ya kumuuliza mwezi mmoja kabla na akayakariri kwa moyo. Siku aliyokuja kufanya interview hakuongea na mtu mwingine yeyote njiani ili asisahau. Kibonde kilaza sana

Kwa hili la Kibondo nadhani sio haki, wabongo tumezidi ukauzu, baadhi ya watu wana chuki tu na clouds kwa vile tu wanasapoti magamba kwa hio hawawezi kuweka fair and balanced analysis, juzi-juzi tu nimewahi kumsikia Kibonde akimhoji jamaa kuhusu mambo ya shule na mtiririko wake uko poa tu, anyway kiingereza ni lugha tu sawa na kiswahili, ukimuona mtu anaona kiingereza ndio superior ujue anasumbuliwa na ule ugonjwa wa inferiority complex.

Hawa jamaa lugha ya malkia hakuna kabisa, yaani wanamtegemea mtu mmoja tu, NCHA KALI. Siku ile alipokuja Luda, ilibidi watangazaji wote wa ''Leo Tena'' wakimbie studio kwa muda kumpisha.

Lud ni mwanahip pop so alitakiwa mtu kama ncha kali anajua muziki wa nje vizuri amuhoji kuliko gea na dina marios wanopambana na heka heka,clous wamezingatia professional najua kama lud angekuwa mtu wa taarabu asingeitwa ncha kali,na hata hivyo kizungu ni lugha tu kama lugha zingine,na unatakiwa kuongea kizungu kwenye ulazima pale tu patakapokuwa na kikwazo cha mawasiliano kati yako na unayewasiliana nae na ni kama anatoka ktk nchi zinazozungumza lugha hiyo,acha ulimbukeni wa lugha ndio maana ww hujui kireno na maisha yanaendelea

kibonde yupo fluent kwa kingereza
but again kingereza cha ludacris sio kingereza tulichofundishwa mashuleni
ningekuwa pamoja na ww ila huyo mtu uliyemsifia ndo ameniziba mdomo

wakati kibonde yupo
channel ten
nimewahi kumuona akimu interview mzungu mmoja
mambo ya michezo na sikuona tatizo
alikuwa very fluent

sasa mambo ya muziki wa hip hop
huwezi sema anayajua sana,kumuhoji ludacriss ana haki ya kukwepa
we huyo kibonde kakupa nn kwan?

Back
Top Bottom