vevenononombo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 1,289
- 421
Sasa kinachokushangaza nini..?Nimemsikia mtangazaji wa Clouds FM wa Michezo Ndg Edger Kibwana akifanya mahojiano na mwandishi wa habari za michezo wa Uganda kiukweli bado sana ktk mahojiano ya kiingereza kwa watangazaji wetu,Naomba kazi clouds niwe nafanya mahojiano ya kingereza tu maana ni aibu

Kwani Maximo alianzaje kufaham Kiswahili? mtoa mada hajajenga hoja! kwani Kingereza ndio nini? Keep up the good work Edgar..ukiona wanapiga kelele ujue wanakusikiliza! mpaka mtu ana take time JF? wish i could u bruh!Sasa kinachokushangaza nini..?
Fika unatambua lugha hii ya kiingereza WaTanzania wengi inatutoa Jasho.
Wewe unafikiri uzoefu ataupata lini... kidogo-kidogo Mambo yatekwenda sawa.
Wewe tuntufye bwana mbona wewe ulivyotoka musoma ulikua hujui kiswahili hadi tukakufundisha ndo ukawa unaongea hata haya uyasemayo maana ulivyokuja ukikua unaongea kilugha chenu tuNimemsikia mtangazaji wa Clouds FM wa Michezo Ndg Edger Kibwana akifanya mahojiano na mwandishi wa habari za michezo wa Uganda kiukweli bado sana ktk mahojiano ya kiingereza kwa watangazaji wetu,Naomba kazi clouds niwe nafanya mahojiano ya kingereza tu maana ni aibu
Mtandao ulikuwa unasumbua huku-comment yangu imejidouble vilivyo..Kwani Maximo alianzaje kufaham Kiswahili? mtoa mada hajajenga hoja! kwani Kingereza ndio nini? Keep up the good work Edgar..ukiona wanapiga kelele ujue wanakusikiliza! mpaka mtu ana take time JF? wish i could u bruh!
Nimemsikia mtangazaji wa Clouds FM wa Michezo Ndg Edger Kibwana akifanya mahojiano na mwandishi wa habari za michezo wa Uganda kiukweli bado sana ktk mahojiano ya kiingereza kwa watangazaji wetu,Naomba kazi clouds niwe nafanya mahojiano ya kingereza tu maana ni aibu
Kwa heshima na taadhima ya tasnia adhimu ya habari! hata matumizi ya "L na R" hujui! toa boriti chief!Mtandao ulikuwa unasumbua huku-comment yangu imejidouble vilivyo..
Mkuu wakati mwingine ukimya ni jambo bora ...kidogo angeshauli wajitahidi katika lugha hiyo sasa anakuja kwa Kejeli na mihemuko + kukurupuka.
Shukrani!!Kwa heshima na taadhima ya tasnia adhimu ya habari! hata matumizi ya "L na R" hujui! toa boriti chief!
Mwache aombe kazi.Sasa kinachokushangaza nini..?