Clouds FM sports extra na kiingereza cha kuunga

Clouds FM sports extra na kiingereza cha kuunga

Maneno pekee wanayoyajua ni: injury, fracture, off-side, ball possession, goal kick, penalty nk
 
Lugha yenyewe imekuja na meli tumejifunza tu tukikosea tusichekwe bali tutiwe moyo kujifunza zaidi na zaidi
 
Nimemsikia mtangazaji wa Clouds FM wa Michezo Ndg Edger Kibwana akifanya mahojiano na mwandishi wa habari za michezo wa Uganda kiukweli bado sana ktk mahojiano ya kiingereza kwa watangazaji wetu,Naomba kazi clouds niwe nafanya mahojiano ya kingereza tu maana ni aibu

Wabunge wenyewe umewaona juzi wanavyojiuma kiingerez ,tena wamesoma mfano Mnyaa ni msomi kabisa. bila kumsahau mzee wa i wish i culd be igp

Hao waandishi form four ni haki yao kabisa
 
Back
Top Bottom