Clouds FM sports extra na kiingereza cha kuunga

Maneno pekee wanayoyajua ni: injury, fracture, off-side, ball possession, goal kick, penalty nk
 
Lugha yenyewe imekuja na meli tumejifunza tu tukikosea tusichekwe bali tutiwe moyo kujifunza zaidi na zaidi
 

Wabunge wenyewe umewaona juzi wanavyojiuma kiingerez ,tena wamesoma mfano Mnyaa ni msomi kabisa. bila kumsahau mzee wa i wish i culd be igp

Hao waandishi form four ni haki yao kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…