Udart
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 398
- 586
Kwema.
Mimi binafsi napenda sana kusikiliza nyimbo za KIKONGO bolingo sebene nk sasa zamani cloud walikuwa na Ben kinyaiya jamaa alikuwa anaendesha kipindi safi safi sikumbuki jina la kipindi ila ilikuwa inadili na nyumba za Congo na hapa nyumbani kiufupi jamaa alikuwa anachambua labda tuseme Koffi Olomide basi atamchambue vizuri nyimbo inapigwa anakutafsria mbaka unafurahia
Binafsi nilimkubali sana kwenye uchambuzi wa ma nguli kama pap tax ,Papa Wemba , nk huyu Ben Kinyaiya mwanzo nilijua ni mkongo man Yani una pigwa wimbo anastop anakupa tafsiri na historia ya huyo msanii ni kama yule marehem pale SAHARA MEDIA (RFA) kuna jamaa alikuwa anaitwa Kamkuru kama sikosei Rip alikuwa wa moto sana kuchambua bolingo
Sasa Clouds FM amekuja jamaa anaitwa ADA CADABRA sijui kama nimeandika sawa una kipindi kuanzia saa tano kila juma pili kiukweli Yani ni kama kipo Kwa ajili ya kurusha majina ya watu shar out sijui nani shar out mtu flani Yuko tegete baada ya hapo wimbo unapigwa jamaa ana Baki eeee aaaa aaahha🎶 aha aha aha Yani hachambui
Ile raha ya kusilikiliza inapotea situnataka unatuchambulia hapa anasema hivi huu wimbo ukipigwa mwaka flani kipindi kinanoga mfano Ben Kinyaiya alikipatia sana sasa asaivi imevaki shar out sijui Daud wa Kota nk bro Aca Dabra sijaja kukusagia kunguni lakini ila kipindi chako kinahtaji ubunifu sio mazoea na kutaja taja majina tu na mi guno aha aha aha vingnevyo angekaa tu dj apge playlist aondoke.