Mr. Marangu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2013
- 1,574
- 1,549
jaman watu wanapenda kuhumu bila kusikiliza pande zote mbili nyie mnajua sbb za kutokuwepo kwa Fid q kama ana kazi zake nyingine utajuaje au hawajahafikiana. kwenye malipo na mkumbuke ile ni biashara kila mmoja anaangalia maslahi yake!
Well said mkuu hiyo ni biashara kwahiyo wana haki ya nani wamchukue na nani wasimchukue kwenye show zao.
Na fid q inawezekana yeye ndiye akawa amekataa au alikuwa bsy kama ulivyosema.
Fid Q alikua kwenye kilitour mikoa yote sasa unafikir watamuweka wakati unajua Clous na EATV wakoje
Kweli hawa jamaa nimeamini ni wanfiki siku za nyuma wamewahi kuonesha unafiki kwa wasanii wengi akiwemo Afande Sele, inashangaza sana kutokuwepo kwa jina la FID Q katika list itakayo sherehesha fiesta Mwanza hasa ukizingatia Fid Q ndo mwenyeji wao.
Mbona mikoa mingine waliyoenda waliwapa kipaumbele wasanii wazawa wa mkoa husika , inabidi ifike mahala wasanii waache kunyenyekea hao clouds.
ipo siku zama zao ztafika ukingoni nania aliamini ipo siku radiofree/kiss fm wangefulia nani aliamini ipo siku fredwaa ange log off radio free