Huko efm utamlipa wewe mshahara? Au aende tu hata kama efm hawamuitaji?Tokea Cliuds FM waamue kumjumuisha mchezaji mstaafu Amri Kiemba katika kipindi cha michezo cha mchana siku ya j2 kama mchambuzi, nimekuwa nafuatilia kila nipatapo nafasi na sasa naona kama wameshindwa kumtumia vilivo gwiji hili.
Badala yake wanamuelekeza katika mahaba ya timu, ligi na hata mchezaji mmoja mmoja. Namshauri, Kiemba, afanye maamuzi magumu ya kujiunga E FM
Kwaiyo ndo unamshauri aende ulipopanga wewe,dah hii nchi mnada uje haraka nipewe changu.
Hii ndiyo bongo bhana ambayo anaweza kuja kocha akawaambia alikuwa anafundisha Madrid mkapa mkataba bila hata kuhoji!Afanye maamuzi magumu ajiunge Efm??..Efm wamemwambia wanamtaka au yeye mwenyewe anajiamulia tu??
Baadhi ya wabongo bhana.
Nahamia Burundi tena mtaa anaoishi Saidoo Ntibazonkiza.Utahamia wapi mkuu? Ama utabaki kama manamba?
Efm si ndo wale wale kama cloudsTokea Cliuds FM waamue kumjumuisha mchezaji mstaafu Amri Kiemba katika kipindi cha michezo cha mchana siku ya j2 kama mchambuzi, nimekuwa nafuatilia kila nipatapo nafasi na sasa naona kama wameshindwa kumtumia vilivo gwiji hili.
Badala yake wanamuelekeza katika mahaba ya timu, ligi na hata mchezaji mmoja mmoja. Namshauri, Kiemba, afanye maamuzi magumu ya kujiunga E FM