Clouds FM wameshindwa kumtumia Amri Kiemba

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Tokea Cliuds FM waamue kumjumuisha mchezaji mstaafu Amri Kiemba katika kipindi cha michezo cha mchana siku ya j2 kama mchambuzi, nimekuwa nafuatilia kila nipatapo nafasi na sasa naona kama wameshindwa kumtumia vilivo gwiji hili.

Badala yake wanamuelekeza katika mahaba ya timu, ligi na hata mchezaji mmoja mmoja. Namshauri, Kiemba, afanye maamuzi magumu ya kujiunga E FM
 
Huko efm utamlipa wewe mshahara? Au aende tu hata kama efm hawamuitaji?
 
EFM??? Serious mi ninaona hao jamaa ni weupe sana kwenye soka labda wajikite na matamasha ya bure ya miziki ila kwenye uchambuzi wa soka wamejaa unazi sana
 
Tokea Cliuds FM waamue kumjumuisha mchezaji mstaafu Amri Kiemba katika kipindi cha michezo cha mchana siku ya j2 kama mchambuzi, nimekuwa nafuatilia kila nipatapo nafasi na sasa naona kama wameshindwa kumtumia vilivo gwiji hili.

Badala yake wanamuelekeza katika mahaba ya timu, ligi na hata mchezaji mmoja mmoja. Namshauri, Kiemba, afanye maamuzi magumu ya kujiunga E FM
Efm si ndo wale wale kama clouds
 
Back
Top Bottom