Clouds FM wanaongea muda huu kuhusu Super League

Clouds FM wanaongea muda huu kuhusu Super League

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
kwani clouds fm hamjui kwamba congo hawapo cecafa?

Mazungumzo mengii mnazitaja mazembe na as vita, kwani nyie ni vilaza?

Hapa teams nane zitatoka south africa, sudan, ethiopia,zambia,angola.. Tanzania nchi hairuhusiwi kutoa zaidi ya teams 3.

Hao wacongo wako zone ya central and west africa

supa 1.JPG
 
Attachments

  • supa 1.JPG
    supa 1.JPG
    22.5 KB · Views: 5
Tukielewa ulichokikusudia tutarudi mkuu..naona bado upo kwenye kiwango cha upuuziaji
 
pole sana ni hivi angalia hiyo picha, teams za super league ni 24 zone yetu sisi ni cecafa na cosafa zinatoa teams 8 wao wanasema hata as vita na mazembe watakuwepo wakati wale ni central africa wanatakiwa kutoa teams 8 wakiwa pamoja na west africa
Tukielewa ulichokikusudia tutarudi mkuu..naona bado upo kwenye kiwango cha upuuziaji
 
Congo drc ipo ukanda wa afrika mashariki so nayo imeingia cecafa,we tu ndo hujui
Unazungumzia kisiasa au kimpira? Eh aisee kazi ipo kwenye kufuzu chan imecheza na nchi gani maana zile huchezwa kwa zone
 
Mamelod
Kaizer
Orlando
Simba
Mazembe
Al Hilal
Petro de Atletico
As Vita

*ZAKUFIKIRIWA
Al Merreikh
Yanga
 
Mamelod
Kaizer
Orlando
Simba
Mazembe
Al Hilal
Petro de Atletico
As Vita

*ZAKUFIKIRIWA
Al Merreikh
Yanga
mazembe hawako cecafa zone wka team a zambia hapo, nkana, zesco zanaco zote ziko juu top 33
 
Southern & East Africa
mzeee congo hawapo zone ya ki sport iitwayo cecafa ndiyo maana hata hizi mechi za juzi kufuzu chan uliona, tz vs somalia..djibout vs burundi.....uliiona congo? kwenye category ya super league wao wana fall central africa and west africa, usiscahnganye cecafa na east africa ya kisiasa
 
Shukran Mkuu.
 
Back
Top Bottom