njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Tukielewa ulichokikusudia tutarudi mkuu..naona bado upo kwenye kiwango cha upuuziaji
Kichwa kama nn[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila wabongo [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Shaffih Dauda ana kichwa kikubwa kama mkubwa wa siafu .Japokua sisikilizi redio.
Yanga fans banaLigi haifai hiyo.sema kwa njaa zetu tutaingia tu imekaa kibaguzi
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Kimpira haiko zone yetu.Congo drc ipo ukanda wa afrika mashariki so nayo imeingia cecafa,we tu ndo hujui
Unazungumzia kisiasa au kimpira? Eh aisee kazi ipo kwenye kufuzu chan imecheza na nchi gani maana zile huchezwa kwa zoneCongo drc ipo ukanda wa afrika mashariki so nayo imeingia cecafa,we tu ndo hujui
mazembe hawako cecafa zone wka team a zambia hapo, nkana, zesco zanaco zote ziko juu top 33Mamelod
Kaizer
Orlando
Simba
Mazembe
Al Hilal
Petro de Atletico
As Vita
*ZAKUFIKIRIWA
Al Merreikh
Yanga
Southern & East Africamazembe hawako cecafa zone wka team a zambia hapo, nkana, zesco zanaco zote ziko juu top 33
mzeee congo hawapo zone ya ki sport iitwayo cecafa ndiyo maana hata hizi mechi za juzi kufuzu chan uliona, tz vs somalia..djibout vs burundi.....uliiona congo? kwenye category ya super league wao wana fall central africa and west africa, usiscahnganye cecafa na east africa ya kisiasaSouthern & East Africa
Shukran Mkuu.mzeee congo hawapo zone ya ki sport iitwayo cecafa ndiyo maana hata hizi mechi za juzi kufuzu chan uliona, tz vs somalia..djibout vs burundi.....uliiona congo? kwenye category ya super league wao wana fall central africa and west africa, usiscahnganye cecafa na east africa ya kisiasa
umeacha wale wa zambia zanaco,Mamelod
Kaizer
Orlando
Simba
Mazembe
Al Hilal
Petro de Atletico
As Vita
*ZAKUFIKIRIWA
Al Merreikh
Yanga