Clouds FM wanastahili pongezi kwa hili suala la Simba na Yanga

Jimmy De Lite

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2019
Posts
635
Reaction score
2,321
Hi Guys,

Nimeona Clouds Media Group katika vipindi vyao vya michezo wakiendesha kampeni ya kiushabiki wa timu zetu hizi mbili zenye mashabiki wengi yani Simba na Yanga, kampeni yenyewe ni hii NANI ATAFIKISHA MASHABIKI 60k UWANJA WA UHURU?

Hilo suala limeanzishwa kizalendo kabisa ili hizi timu zetu ziweze kutengeneza mapato ili ziepukani na Mabakuri, sasa ni muda wa kuacha ushabiki wa maneno bali ni kwenda kuujaza uwanja wa Uhuru katika mechi hizi.
 
Wanasimba ni kawaida yetu kujaza uwanja kwa sababu ya kuipenda na kuiamini timu yetu. Hatuendi uwanjani kwa promo za TV na Redio.
 
Gongowazi FC watajazana sana maana ni weekend. Mabingwa wao jumanne ila tutajitahidi kwenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…