NdegeMwema
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 250
- 200
Na clouds ndo waandaji wa show eeeh???Haingizi,maana shows hapati.kumbuka tangu atoe Ndindindi hajafanya show sehemu yoyote
Haata Mimi nashangaa saana kwanini paka uwaabudu mawingu FM ndio upate kutoka??? WhyNyimbo isipopigwa clouds, haingizi hela au?
acha zako akiamua kupiga zile show zake anazopigaga na band yake unajua anavyokusanya raia,juzi kwenye fnl alisema kwann sasa hiv apigi show kila weekend........alf nahisi ushazoea kuona fiesta tu ndo mana unaongea hvo.Haingizi,maana shows hapati.kumbuka tangu atoe Ndindindi hajafanya show sehemu yoyote
kwani clouds wanatoa hela ya kula??...au unahisi jide anategemea mziki??....akicontrol tu zile ronge zake 4,na yale mafuso yake 11 vinatamtosha kuishi vizuri.Hela ya kula utampa wewe?
[emoji15] [emoji15] hiiii acha utani..mtoa mada una uhakika na ulichokiandika kuwa nyimbo za jide hazipigwi clouds media?..jana kwa macho yangu nimeona huu wimbo mpya wa jide (ndindindi) ukipigwa cloids tv.
"cloids tv" ni tv mpya hii?..mtoa mada una uhakika na ulichokiandika kuwa nyimbo za jide hazipigwi clouds media?..jana kwa macho yangu nimeona huu wimbo mpya wa jide (ndindindi) ukipigwa cloids tv.
mkuu We ni mwanaume au mwanamke? samahani lakini kwa swali hili.Kama tunavyojua ya kwamba Lady Jay dee komandoo hana mahusiano na redii clouds fm,sasa hali hiyo imefanya huyu dada hata nyimbo zake kutochezwa katika kituo hicho.
Kumbuka clouds washakuwa katika tafrani na wasanii kama Mapacha,Sugu,Rama dee n.k,lakini hao wote waliomba msamaha na walisamehewa na bado nyimbo zao hazichezwi pale wala hata interviews hawapewi wala nini! Sasa huyu dada nadhani anaona aibu kuomba radhi clouds fm kwa kuwa anajua hata akiomba msamaha bado hawatacheza nyimbo zake, kitendo cha Jide kugombana na clouds fm kimemfanya akose ushirikiano na wasanii wote wa tanzania na hico kujikuta hakuna msanii anaeomba kufanya collable na yeye.
Hii inatokana na kwamba wasanii wanaogopa endapo watamshirikisha hii maana yake nyimbo haitapigwa clouds fm na ndio redio kubwa Tanzania nzima,ukitaka wimbo wako uvume ni lazima udili na hawa majamaa,kazi ipo
Jide komandoooNdiNdiNdi nyimbo yaTaifa..hakuna kubabaikia mtu Jide anajiweza hana shida Y awababaikie waseng* wa clouds
Radio ziko nyingi sana hiv watu wataendelea kuiabudu Clouds mpaka lini?
Wewe si ndio wale wale walk chips mayai, unatishwa na watoto wa mbwa Clauds.Hela ya kula utampa wewe?
Mhh! Mkuu hapa watu watu wanaongelea clouds na sio hiyo cloids yako..mtoa mada una uhakika na ulichokiandika kuwa nyimbo za jide hazipigwi clouds media?..jana kwa macho yangu nimeona huu wimbo mpya wa jide (ndindindi) ukipigwa cloids tv.