SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,944
- 2,032
Hivi ushawahi kumuona jide kwenye show za ajabu ajabu ,siku ukisikia show ya jide jua n kaliHaingizi,maana shows hapati.kumbuka tangu atoe Ndindindi hajafanya show sehemu yoyote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ushawahi kumuona jide kwenye show za ajabu ajabu ,siku ukisikia show ya jide jua n kaliHaingizi,maana shows hapati.kumbuka tangu atoe Ndindindi hajafanya show sehemu yoyote
ni lini sugu , mapacha waliomba msamaha kwa Clouds?? , acha uongo aseeKama tunavyojua ya kwamba Lady Jay dee komandoo hana mahusiano na redii clouds fm,sasa hali hiyo imefanya huyu dada hata nyimbo zake kutochezwa katika kituo hicho.
Kumbuka clouds washakuwa katika tafrani na wasanii kama Mapacha,Sugu,Rama dee n.k,lakini hao wote waliomba msamaha na walisamehewa na bado nyimbo zao hazichezwi pale wala hata interviews hawapewi wala nini! Sasa huyu dada nadhani anaona aibu kuomba radhi clouds fm kwa kuwa anajua hata akiomba msamaha bado hawatacheza nyimbo zake, kitendo cha Jide kugombana na clouds fm kimemfanya akose ushirikiano na wasanii wote wa tanzania na hico kujikuta hakuna msanii anaeomba kufanya collable na yeye.
Hii inatokana na kwamba wasanii wanaogopa endapo watamshirikisha hii maana yake nyimbo haitapigwa clouds fm na ndio redio kubwa Tanzania nzima,ukitaka wimbo wako uvume ni lazima udili na hawa majamaa,kazi ipo
Mkuu siku hizi mambo yamkebadilika sana, wasanii wanategemea zaidi Video na katika TV, Clouds hawanusi hata chembe kwa EATV, maana siku hizi wameongeza vipindi vingi mno vya muziki, kuanzia Muziki Mnene, Mperampera, Bongo Hits na nyingine. Hivyo wasanii siku hizi wanadili zaidi na video kuliko audio.
Sugu, rama dee hawakuomba msamaha ila hao mapacha waliomba msamaha n walipeleka ngoma yao xxl kutambulishwa ila walikuwa km wanachorwa na wakina mchomvu n b12 n maswali ya kudharishwa ngoma ikapigwa cku mbili ikatiwa kapunini lini sugu , mapacha waliomba msamaha kwa Clouds?? , acha uongo asee