Clouds FM yasababisha Jide kutoshirikiana na wasanii wa Bongo

ni lini sugu , mapacha waliomba msamaha kwa Clouds?? , acha uongo asee
 

ishu sio contents/programs zao, je Coverage ya EATV iko sawa na ya Clouds TV ? je nani kati yao anapatikana kwenye satellites nyingi kuliko mwenzie / nani anawafikia watu wengi zaidi kuliko mwenzie? mzee mengi akiibusti eatv ionekane kwenye DSTV na zaid ya hapo basi ataifanikishia mambo mengi sana kwa wasanii wetu
 
Kuna kitu naona watu wengi hawaja kidaka apa, ni ukweli kiwa jide kapoteza ushirikiano (wa kisanii) na wana muziki wengi kwa sabab ya hlo bif si la kubisha

Ila pia lady ana survive juz tuu kapga show na EA radio kigambonino, alaf na mleta uzi jitajid uskilize radio kama EAradio na Efm, uko anga fm una kosa mengi sana,
Ndi ndi ndo ndo abar ya mjin now
 
ni lini sugu , mapacha waliomba msamaha kwa Clouds?? , acha uongo asee
Sugu, rama dee hawakuomba msamaha ila hao mapacha waliomba msamaha n walipeleka ngoma yao xxl kutambulishwa ila walikuwa km wanachorwa na wakina mchomvu n b12 n maswali ya kudharishwa ngoma ikapigwa cku mbili ikatiwa kapuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…