Clouds lazima watambue kuwa hawana nguvu ya kufanya kila watakacho

seansenior

Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
10
Reaction score
17
Clouds media wamekuwa miungu watu kwa mrefu kwenye Tasnia ya muziki na wanahisi wanaweza kufanya watakalo kwenye muziki

Wamwkuwa watu wa fitina,wanyonyaji na wanafiki

Nani asiyejua kuwa ruby alinyonywa kwa kupewa pesa ndogo kwenye shows zao mpaka akagoma na wakaamua kutopiga nyimbo zake kabisa FITNA

Hawapigi tena nyimbo za lady jay dee eti ugomvi wake na gadner

Fid q alisema "wanataka kumshusha mmoja ili mwingine awe juu"

Nafikiri for the first time watakuja kufail kwa huyu kijana mchapakazi believe me or not clouds are exploiters of artists works
 
ndio maana kazi zangu za tamthilia sipeleki Clouds fm napelekaga EFM , DSTV, AZAM TV na TV1

CLouds wabaya sana acha Mheshimiwa Makonda awanyooshe!
 
Kwani kuna issue gani wadau? Kama ni suala LA shilawadu na moses mbona kama halihusu wcb? Maana moses alifanya yale kama yeye wala hakutumwa na wcb wala wcb hawahusiki kabisa. Kuna nini tena jamani?
 
Ila kinachoshangaza ni kwamba wasanii wasiofanya kazi na mnyonyaji Clouds wala hawanenepi? WHY?
 
shida ya watanzania ni watu hamtumii akili. unagombana na jirani yako afu unataka akugaie sukari? clouds ni bishara kama biashara nyingine..mkizinguana hawakupi support. clouds hawana shida yeyote...hawajahi kumfuata msanii yeyote... wasanii ndo wanawafuata wao sasa kama mnaona mnashindwa kufanya nao si wasepe. me siwapendi hao watu clouds ila kwa hili nawatetea. watanzania mnapenda kunyea mikono inayowalea penda sana kupewa vya bure mkiombwa na nyie mnakimbilia kusema mmenyonywa...jamani promo za bure wasanii wanaomba sana mpaka wanakera mshkaji wangu ni mtangazaji aise ukiiijua hio industry wala hutowalaumu clouds... wakifanyiwa wao wasanii wanakimbia kulia wameonewa basi wakae mbali na hiyo media mbona wanajirudisha wenyewe..redio ziko 120 Tanzania ila hilo la clouds waaawaaache jamani
 
TEAM CLOUDS UTAWAJUA TU
 
Mlisema hivyo kwa Sugu,mkasema hivyo kwa Jide,mkasema hivyo kwa Rubby na sasa mnasema hivyo kwa WCB ..

Tuombe uhai..
 
Clouds kama maji usipoyanywa..utayaogea!kwahyo wasanii waendelee kuwa wapole tu kama wanataka kukaa kwenye game!
 
Hakuna promo ya bure huyo rafiki ako kakudanganya.
 
Radio ndo inatakiwa imlipe msanii ama msanii ndo alipwe na radio nyimbo zake zipigwe?
 
Radio ndo inatakiwa imlipe msanii ama msanii ndo alipwe na radio nyimbo zake zipigwe?
1. msani antakiwa alipe kila promo anayopewa (interview mention updates) hamma msani anaelipa. na msani anatakiwa alipwe kwaajili ya mziki wake pale siku 90 zikipita ambayo ni kama grace period. wimbo unalipiwa ukiombwa au kuwa requested na wasikilizaji. baada ya hizo siku 90 kama redio inacheza huu wimbo kuupromote na haujaombwa na wasikilizaji....msani anatakiwa alipe. hivo ndivo wamavofanya nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…