shida ya watanzania ni watu hamtumii akili. unagombana na jirani yako afu unataka akugaie sukari? clouds ni bishara kama biashara nyingine..mkizinguana hawakupi support. clouds hawana shida yeyote...hawajahi kumfuata msanii yeyote... wasanii ndo wanawafuata wao sasa kama mnaona mnashindwa kufanya nao si wasepe. me siwapendi hao watu clouds ila kwa hili nawatetea. watanzania mnapenda kunyea mikono inayowalea penda sana kupewa vya bure mkiombwa na nyie mnakimbilia kusema mmenyonywa...jamani promo za bure wasanii wanaomba sana mpaka wanakera mshkaji wangu ni mtangazaji aise ukiiijua hio industry wala hutowalaumu clouds... wakifanyiwa wao wasanii wanakimbia kulia wameonewa basi wakae mbali na hiyo media mbona wanajirudisha wenyewe..redio ziko 120 Tanzania ila hilo la clouds waaawaaache jamani