Wabongo wote hawana umojaTatizo LA wasanii Wa Bongo hawana umoja
Nielekeze hizo kaz nikaangalie...jina na mtunzindio maana kazi zangu za tamthilia sipeleki Clouds fm napelekaga EFM , DSTV, AZAM TV na TV1
CLouds wabaya sana acha Mheshimiwa Makonda awanyooshe!
Totally Wrong. Hamna msanii anayetakiwa kuilipa radio kwa ajili ya interview, don't you see media houses wana vipindi vingi sana vinavyowahusu Wasanii na sababu kubwa ni kuwa wasikilizaji na watazamaji wako interested zaidi na stories zao. Unataka kuniambia siz kitaa na shilawadu inabidi walipwe wanapowafanyia interview wasanii1. msani antakiwa alipe kila promo anayopewa (interview mention updates) hamma msani anaelipa. na msani anatakiwa alipwe kwaajili ya mziki wake pale siku 90 zikipita ambayo ni kama grace period. wimbo unalipiwa ukiombwa au kuwa requested na wasikilizaji. baada ya hizo siku 90 kama redio inacheza huu wimbo kuupromote na haujaombwa na wasikilizaji....msani anatakiwa alipe. hivo ndivo wamavofanya nje
Watu wanailaumu clouds kuwa wanawanyonya wasanii!! Kivipi??? Clouds wanamatamasha 2 tu Fiesta na Afterskol bash! Sasa sijui wanaolalamika kunyonywa ni ktk hayo matamasha 2 au?????
Hili nalo neèenoooo mkuuIla kinachoshangaza ni kwamba wasanii wasiofanya kazi na mnyonyaji Clouds wala hawanenepi? WHY?
Totally Wrong. Hamna msanii anayetakiwa kuilipa radio kwa ajili ya interview, don't you see media houses wana vipindi vingi sana vinavyowahusu Wasanii na sababu kubwa ni kuwa wasikilizaji na watazamaji wako interested zaidi na stories zao. Unataka kuniambia siz kitaa na shilawadu inabidi walipwe wanapowafanyia interview wasanii
shida ya watanzania ni watu hamtumii akili. unagombana na jirani yako afu unataka akugaie sukari? clouds ni bishara kama biashara nyingine..mkizinguana hawakupi support. clouds hawana shida yeyote...hawajahi kumfuata msanii yeyote... wasanii ndo wanawafuata wao sasa kama mnaona mnashindwa kufanya nao si wasepe. me siwapendi hao watu clouds ila kwa hili nawatetea. watanzania mnapenda kunyea mikono inayowalea penda sana kupewa vya bure mkiombwa na nyie mnakimbilia kusema mmenyonywa...jamani promo za bure wasanii wanaomba sana mpaka wanakera mshkaji wangu ni mtangazaji aise ukiiijua hio industry wala hutowalaumu clouds... wakifanyiwa wao wasanii wanakimbia kulia wameonewa basi wakae mbali na hiyo media mbona wanajirudisha wenyewe..redio ziko 120 Tanzania ila hilo la clouds waaawaaache jamani
Mkuu umemtaja Sugu, huyo jamaa ndio alikua mjeshi wa kweli ktk vita na Luge na ndio msanii aliemsumbua sana kichwa jamaaWakat sugu anapigana na clouds hii management ya cwb sasa hivi walikua sana upande wa clouds sasa hivi ndo wanajikuta wanajua ubaya wa ruge sio? Acha wauane wenyewe tu coz hamna mwema hapo labda diamond peke yake
Kilicho fanyika ni kwamba WCB wametengeneza mgogoro wao wenyewe na lengo lao ni kutafuta kiki na kutangaza kiredio chao! Hakuna sababu yeyote ya kuanzisha bifu na media nzima ya clouds wakati aliyefanya upumbavu ni mose iyobo so iyobo amekuwa chanzo tuu cha wcb kutengeneza zengwe ikumbukwe kuwa moze iyobo aliwahi kumwita hamorapa nyani' iyobo kwa ufupi ni hovyo sana! WCB Wanatengeza zengwe ili ionekane CLOUDS wabaya ili ka redio kao katake over! Mondi na mameneja wake wahuni sana.Kwani kuna issue gani wadau? Kama ni suala LA shilawadu na moses mbona kama halihusu wcb? Maana moses alifanya yale kama yeye wala hakutumwa na wcb wala wcb hawahusiki kabisa. Kuna nini tena jamani?